Posts

Image
Maisha ya chuo huwa ni mazuri pindi unapotarajia kuyaingia lakini watu hawa wameshaanza kuona ugumu wa maisha hayo. 1. Kuna tabia huwa wanafunzi wanakaririshana kwamba chuo raha, wanafunzi hawasomi, hakuna kufeli na vingine vinavyohusiana na hivyo. Ukweli ni kwamba vilivyotajwa pale chini ni uongo masomo yapo palepale na mashariti yote ya wanafunzi hufutwa 2. Wanafunzi wengi sana huwa wanasahau ibada zao na kuanza kujiingiza katika anasa mbalimbali kama vile pombe madawa ya kulevya, uzinzi na anasa nyingi 3. Ushauri! Uwapo chuoni epuka anasa japo zinaruhusiwa epuka vilivyotajwa na zingatia muda wako. Ukifanya hivyo utaenda kusimulia kwamba chuo ni raha hakuna matatizo kabisa lakini kama utaenda kinyume na haya utasimulia uongo ambao utapotosha jamii inayokukabili.           Asanteni sana